ZAWADI KWA WANACHAMA BORA
Wanachama wote wanakaribishwa kushiriki Shindano hili ili kujishindia zawadi mbalimbali
VIGEZO NA MASHARTI:
Mshiriki kujaza fomu inaopatikana Ofisi ya UVIMA au katika TOVUTI YETU
Fomu kuwasilishwa Ofisi ya UVIMA au kutumwa kupitia Barua Pepe ya uvimasaccos@gmail.com
Zawadi zitatolewa kila ifikapo mwisho wa mwezi
AINA YA ZAWADI
Mwanachama 1 - Sh. 5,000
Wanachama 2 - Sh. 10,000 au Kofia 1
Wanachama 3 - Sh. 15,000 au T-shirt
Wanachama 4 - Sh. 20,000 au Mwavuli
Wanachama 5 - Sh. 25,000 au Kofia na T-shirt
Zaidi ya wanachama 5 - Zawadi mbalimbali na Cheti cha Pongezi