ZAWADI KWA WANACHAMA BORA
Shindano la Zawadi kwa Wanachama Bora wa UVIMA SACCOS LTD
MKUTANO MKUU
Ni msimu wa Mkutao Mkuu.
Wanachama wote mnakumbushwa kukamilisha uwiano wa Hisa 20 au zaidi.
Watakaoruhusiwa kuingia katika Mkutano Mkuu ni wale waliotimiza Kima cha chini cha Hisa 20 tu.
SACCOS YANGU - AKIBA YANGU
Weka Akiba mara kwa mara kudumisha uhai wako Chamani
OFA MPYA 2024
UVIMA SACCOS LTD tunatoa ofa kwa mwanachama wetu atakayeleta mwanachama mpya.
Mwanachama akihamasisha mwanachama mmoja binafsi atapewa sh 5,000 na akihamasisha kikundi kujiunga atapewa sh 10,000.
Ofa bado inaendelea hivyo wanachma wetu wajitahidi kuchangamkia ofa hii.