OFA MPYA 2024
UVIMA SACCOS LTD tunatoa ofa kwa mwanachama wetu atakayeleta mwanachama mpya.
Mwanachama akihamasisha mwanachama mmoja binafsi atapewa sh 5,000 na akihamasisha kikundi kujiunga atapewa sh 10,000.
Ofa bado inaendelea hivyo wanachama wetu wajitahidi kuchangamkia ofa hii.