Akaunti ya mtu Binafsi
1. Kujaza fomu ya kufungua akaunti (Inapatikana katika Tovuti hii au Ofisi ya Chama)
2. Passport size 2 za rangi
3. Kianzio cha fedha cha angalau sh. 30,000 au zaidi kwa ajili ya kulipia;
a. Kiingilio Sh. 10,000
b. Hisa moja yenye thamani ya Sh. 10,000
c. Akiba au Amana angalau Sh. 10,000
N.B: Mwanachama anatakiwa kuchangia Hisa 20 zenye thamani ya Sh. 200,000 ndani ya
kipindi kisichozidi mwaka 1.
Baada ya kukamilisha kima cha Chini cha hisa 20, mwanachama anaruhusiwa kuongeza hisa
hadi 50 (Sawa na Sh. 500,000)