HAKI ZA MWANACHAMA (Mwanachama atanufaika nini?)
1. Atapata semina na mafunzo “Bure”
2. Atapata gawio la faida katika Hisa, Akiba na Amana
3. Fursa ya kuchaguliwa kuwa kiongozi wa Chama
4. Kuweka na kutoa fedha bila gharama yeyote
5. Kushiriki katika Mikutano Mikuu ya Chama
6. Kuitisha Mkutano Mkuu kulingana na Kanuni
7. Kukopa kulingana na taratibu za Chama
8. Kuwa mdhamini wa mikopo kwa mwanachama mwingine
9. Kusikilizwa kuwa kutoa maoni katika Chama
10. Kupatiwa habari za Chama
11. Kupewa hati ya Hisa baada ya kukamilisha ununuzi wa Hisa
12. Kushiriki kufanya mabadiliko ya katiba na Sera za Chama
13. Kuweka na kutoa Akiba, Amana na Hisa zake kwa kufuata masharti ya Chama.