7/30/24

Wanachama wa UVIMA SACCOS wakiimba kwa furaha

Furaha hii inadhihirisha ni kwa namna gani wanachama wetu wanajivujia kuwa na SACCOS hii ya kijamii kwani wamenufaika sana kwa mambo mengi ikiwemo Mikopo ya Kilimo, Ufugaji, Biashara pamoja na mafunzo ya kilimo na ujasiriamali bure.

Previous

Wanachama waaswa kutokuacha nidhamu ya VICOBA

Next

Afanikiwa kusomesha mtoto hadi Chuo Kikuu kupitia mikopo ya UVIMA