Karibu UVIMA SACCOS LTD
Kwa mujibu wa Sheria, Mwanachama mwenye hisa kamili ndiye mmiliki halali wa SACCOS na ndiye anayeendesha SACCOS
Katika UVIMA SACCOS mwanachama ana nafasi zifuatazo;
Mmikiki (Kwa kuwa amenunua hisa za chama)
Mteja (Hudumia huduma za Chama)
Mshirika wa Mgao (Hushiriki mgawanyo wa ziada kwa jinsi anavochangia kuzalisha ziada hiyo)
Kiongozi (Anayo haki ya kuchagua viongozi au kuchaguliwa kuwa kiongozi
Previous
Afanikiwa kusomesha mtoto hadi Chuo Kikuu kupitia mikopo ya UVIMA
Next