Je wajua?
UVIMA ni Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo kilichoanzishwa mwaka 2007. Chama hiki kilifanya Mkutano wake Mkuu 17 tarehe 20/11/2024 ulioambatana na Uzinduzi wa Tovuti ya Chama pamoja na Programu ya Simu (Mobile App).
Uzinduzi huu ulifanya na Mama Edith Banzi ambaye ni Mwasisi na Mwanzilishi wa SACCOS yetu ya UVIMA (Alipokuwa Mkurugenzi wa Shirika la Floresta Tz 2004 - 2011)
Tafadhali wasiliana na Meneja kupitia simu ya mkononi 0765 125 954 au tuandikie maoni, maswali, ushauri, pongezi au maombi ya nakala ya kitabu cha Mkutano Mkuu wa 17 kupitia barua pepe uvimasaccos@gmail.com
TAFADHALI JAZA FOMU HAPO CHINI KUTUMA UJUMBE WAKO KWA UVIMA SACCOS LTD
Unakaribishwa kujibu maswali yafuatayo;
Ni rahisi kabisa, hivyo chagua jibu miongoni mwa majibu yaliyoorodheshwa.
Majibu na michango yako itathaminiwa sana.
* Inaonyesha swali linahitajika