MKUTANO MKUU WA 17 WA UVIMA ULIOFANYIKA 20 NOV. 2024
☆
MKUTANO MKUU WA 17 WA UVIMA ULIOFANYIKA 20 NOV. 2024 ☆
Mgeni Rasmi, Mama Edith Banzi akizindua Tovuti na Mobile App ya UVIMA SACCOS LTD katika Mkutano Mkuu wa 17 wa Chama uliofanyika 20/11/2024
Baadhi ya wajumbe wa Bodi ya UVIMA katika uzinduzi wa Tovuti na Mobile App
Meneja wa UVIMA akifafanua jambo siku ya uzinduzi wa Website & Mobile App ya UVIMA SACCOS LTD
Mwanachama Bora akikabidhiwa Cheti cha Pongezi na Zawadi katika Mkutano Mkuu wa 17 wa UVIMA SACCOS LTD
Wajumbe wa Kamati ya Usimamizi katika Mkutano Mkuu wa 17 wa UVIMA SACCOS LTD
Wafanyakazi wa UVIMA SACCOS LTD
Mwanachama wa UVIMA mama Vicky Mkony akitoa maoni kwenye Mkutano Mkuu 17
Mwanachama Ev. Kauwerd Kimaro akifafanua jambo katika Mkuntoa Mkuu 17
Mgeni Rasmi akiingia kwa furaha kwenye Mkutano Mkuu 17
Wanachama wakifuatilia kwa umakini mkubwa agenda za Mkutano Mkuu 17
Meneja akifafanua Agenda ndani ya Mkutano Mkuu 17
Isaya Mangowi (Mjumbe wa zamani wa Kamati Simamizi) akiuliza swali
Mtaalamu wa Tehama akifafanua jambo kwenye Mkutano Mkuu 17
Wanachama wakifuatilia Mkutano Mkuu 17
Mwenyekiti wa Kamati Simamizi akisoma ripoti ya kamati kwenye Mkutano Mkuu 17
Afisa Ushirika ndugu E. Ringo akifafanua jambo kwenye Mkutano Mkuu wa 17
Mwenyekiti wa Mkutano (Mch. H. Mboya) akitoa maelekezo katika Mkutano Mkuu 17
Thadeo Kellya (Mkaguzi toka COASCO) akisoma taarifa ya ukaguzi
Bodi Mpyya ya UVIMA SACCOS LTD (2024 - 2026)
Clemence Kimaro akiuliza swali katika Mkutano Mkuu wa 17
Mafunzo juu ya Utunzaji wa Mazingira
☆
Mafunzo juu ya Utunzaji wa Mazingira ☆


Mafunzo juu ya Kilimo Hai
☆
Mafunzo juu ya Kilimo Hai ☆



Uhamasishaji na Usimamizi wa Vikundi
☆
Uhamasishaji na Usimamizi wa Vikundi ☆

Mafunzo ya Usimamizi wa Fedha - Real Planet Group

Elimu - Kikundi cha Amkeni
Mafunzo kwa Wanachama, Viongozi na Watendaji
☆
Mafunzo kwa Wanachama, Viongozi na Watendaji ☆
Mafunzo kwa Bodi, Kamati Simamizi na Watendaji

Mafunzo kwa Bodi na Wafanyakazi


Mafunzo kwa Wanachama
Mafunzo Kubadilishana Uzoefu (Menejimenti na Bodi)
☆
Mafunzo Kubadilishana Uzoefu (Menejimenti na Bodi) ☆

MAFUNZO KWA VITENDO - MOCU STUDENT OUTRICH CLUB (Walipotembelea UVIMA SACCOS LTD 01/06/2024)




Ziara ya mafunzo kati ya Menejimenti na Bodi za UVIMA SACCOS na Nguvumali SACCOS 15/11/2024

Baadhi ya wajumbe wa Bodi, Menejimenti, K/Simamizi na Wanachama wa Nguvumali SACCOS LTD

